Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Si mmekataa Makonda sio Bashite sasa mnalialia nini?tulieni mziki umeenda shule,halafu yule kiongozi anayegombania front page,haaaa haaaaa wachomee
 
Msanii wa kizazi kipya Emanuel Elibarik alimaarufu kama NEY wa mitego amekamatwa asubuhi hii huko morogoro

View attachment 486993

Sehemu ya wimbo wa Ney wa Mitego:

Hivi Uhuru wa Kuongea bado upo? Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki!
Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti? Wapooo! Mheshimiwa hivi unamjua Bashite kutoka Kolomije? We si Dokta wa kutumbua majipu?

We mtu gani sasa? Hutaki kushauriwa, hutaki kukosolewa? ...Naona kichaa kapewa rungu! Hahahaha.

========

Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa linamshikilia msanii Ney wa Mitego, kwa tuhuma za kutoa wimbo unaokashifu Serikali iliyopo madarakani.

Duh in mwendo wa kjaza magereza,wajiandae kujenga mahakma zingne maana kwa mtindo huu ,itakuwa kma kero ya madawat
 
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
ametoa tusi gani hapo sasa? au wewe ndio hauna marinda, mbona umeruka sana kama umekalia kidole cha mtu?
 
Back
Top Bottom