Morogoro: Mwalimu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wake

Morogoro: Mwalimu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wake

Mkuu si bora tu ungenyamaza tu kuliko kukoment. Ila watoto wengi hawana security dhidi ya unyanyasaji wa namna hii. Hii haikubaliki kabisa

Mkuu si bora tu ungenyamaza tu kuliko kukoment. Ila watoto wengi hawana security dhidi ya unyanyasaji wa namna hii. Hii haikubaliki kabisa
Kwasababu kichwa chako kinatumika kufugia nywele tuh huwezi kunielewa. Hapo jirani Nairobi Kuna katoto ka miaka kumi miaka hiyo kalilengeshwa na kumsingizia vibaya baba yake. Yule jamaa akapewa kifungo Cha Maisha.

Sasa hivi yule binti Ni mtu mzima na ametubu kosa na kwenda kumuomba babake msamaha gerezani lakini too late. Kisa ilikua tu jamaa aondoke kwenye scene mke wake auze nyumba. Nyumba iliuzwa sasa hivi mama na mtoto Ni wapangaji.

Ndio maana tuna mahakama.....,upo dogo?
 
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mwalimu wa taaluma katika Shule ya Msingi Montfort, Eneza Andarson, 27, kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 10, kwa nyakati tofauti...
...Miaka 10 kwa 27?? Hivi inaweza hata kuingia jamani?...unless jamaa ana Kibamia kilichokwenda Shule?![emoji22][emoji22]
 
Kwasababu kichwa chako kinatumika kufugia nywele tuh huwezi kunielewa. Hapo jirani Nairobi Kuna katoto ka miaka kumi miaka hiyo kalilengeshwa na kumsingizia vibaya baba yake. Yule jamaa akapewa kifungo Cha Maisha. Sasa hivi yule binti Ni mtu mzima na ametubu kosa na kwenda kumuomba babake msamaha gerezani lakini too late. Kisa ilikua tu jamaa aondoke kwenye scene mke wake auze nyumba. Nyumba iliuzwa sasa hivi mama na mtoto Ni wapangaji.
Ndio maana tuna mahakama.....,upo dogo?
...Mkuu, hivi yule Baba aliachiwa baada ya mtoto kukiri kuwa Baba yake hakumfanyia hivyo Bali ulikuwa in mpango tu uliosukwa na mama?
 
Young teens nao sometimes Wana viherehere vya kuzoea zoea wanaume vibaya.si hatuelewi sasa hivi Ni kizazi Cha nyoka shauri zenu wazazi tabia ya kuachia achia mtoto wa kike kwenye ma tv au smartphone.unakuta chenyewe ndo kanatamani kawe kamwanamke.
Nina uhakika huna binti, acha kubwabwaja. Huyo mwalimu anaishi hapo shule, mtaani hakuna watu wazima kama yeye?
Hata ukidhani mtoto ndio ana mbaka mwalimu, hapo anayetakiwa kufanya maamuzi kama mtu mzima ni nani? Bila shaka utasema ni mwanafunzi!
 
There is NO EXCUSE kabisa kwa kitendo kama hiki. Acha kabisa kujustify mkuu. Hivi wewe katoto ka miaka 10 hata kakijilengesha vipi utakapanda? Hako si katoto sasa ukikasikiliza ukakapanda eti kwa kuwa kalijilengesha nani atakuwa mtoto kati yenu? Yaani miaka 27 ushikiwe akili na mtoto wa miaka 10?...
Ukisoma maelezo ya baadhi ya wana JF unajiuliza kama tuko timamu.
 
Young teens nao sometimes Wana viherehere vya kuzoea zoea wanaume vibaya.si hatuelewi sasa hivi Ni kizazi Cha nyoka shauri zenu wazazi tabia ya kuachia achia mtoto wa kike kwenye ma tv au smartphone.unakuta chenyewe ndo kanatamani kawe kamwanamke.
Yaani miaka 10 ni YOUNG TEEN?!
 
Dunia haiishi vituko je huyu nae ilipita vipi?
Screenshot_20201111-064329.jpg

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
...Mkuu, hivi yule Baba aliachiwa baada ya mtoto kukiri kuwa Baba yake hakumfanyia hivyo Bali ulikuwa in mpango tu uliosukwa na mama?
Yule mzee hajaachiwa mpaka sasa. Kama ujuavyo mahakama za Kenya Kama huna kitu mkononi Cha kuwahonga ujue imekula kwako.
Kuna yule mwanamke aliyemuua mumuwe mzungu ili arithi Mali, kwasababu ana pesa Yuko nje kwa dhamana na ujue kesi ndio Basi Tena.
Yuko yule gavana aliyemuua mchepuko wake, kwasababu anapesa Yuko nje kwa dhamana na Ile kesi hutakaa uisikie.

Kuna dogo mmoja alikua anafanya nssf alipatikana na pesa isiyo na idadi na majumba ya kifahari kwa kumuibia mwajiri wake lkn Yuko nje kwa dhamana na hiyo kesi ukilisikia Tena Ni tag
 
Tusimhukumu mwalimu Kuna uwezekano katoto kamelishwa maneno ili kumkomoa teacher. Mbona sioni report za kidakitari. Mtoto wa miaka kumi Kama kaingiliwa daktari anaweza kujua.
Umewahi kuona ripoti ngapi za daktari hapa JF zikithibitisha mtu kubakwa?

Lakini kama hoja ni uwezekano wa kubambakiwa kesi na ndio maana huoni Ripoti ya Daktari; na kama wameweza "kumnunua" Afisa wa Polisi ili kuhalalisha hizo tuhuma na aliyosema mbele ya Press, sasa wangeshindwa nini "kununua" Ripoti ya Daktari?!

TIP: Jana imeripotiwa habari kutoka Mtwara kuhusu Mtaalamu ama wa X-Ray or something like that amedakwa akipokea rushwa ya Sh. 20K!
 
Young teens nao sometimes Wana viherehere vya kuzoea zoea wanaume vibaya.si hatuelewi sasa hivi Ni kizazi Cha nyoka shauri zenu wazazi tabia ya kuachia achia mtoto wa kike kwenye ma tv au smartphone.unakuta chenyewe ndo kanatamani kawe kamwanamke.
Bado haihalalishi kubakwa
 
Asamehewe tu, tumeumbwa kukosea
Kama katenda kweli hapo msamaha haufanyi kazi.
Sheria itachukua mkondo wake na adhabu kali itolewe.

Nb. Hivi mwanao akitendewa matendo hayo mfululizo itatosha kusema asemehewe pasipo hatua za kisheria kuchukuliwa?
 
Young teens nao sometimes Wana viherehere vya kuzoea zoea wanaume vibaya.si hatuelewi sasa hivi Ni kizazi Cha nyoka shauri zenu wazazi tabia ya kuachia achia mtoto wa kike kwenye ma tv au smartphone.unakuta chenyewe ndo kanatamani kawe kamwanamke.
Sio kwa mtoto wa miaka 10..!!
 
Kitoto cha miaka kumi hivi dushe linaingiaje kwanza?..dooh..Huyu mwalimu bhana
 
Mwalimuuuuu
katoto kamepandwa zaid ya Mara moja hakajafa hakajaumwa kamezoea mchezo ukute n 10yrs lakin umbile lake n kubwa ukute hata we ungeambiwa ana miaka 10 usingeamini
 
Back
Top Bottom