Morogoro: Nina frame ya biashara eneo zuri lakini sina mali. Mwenye mali njoo tufanye kazi

Morogoro: Nina frame ya biashara eneo zuri lakini sina mali. Mwenye mali njoo tufanye kazi

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Habari Wadau,

Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili.

Tatizo sina mtaji wa kutosha kama wanaonizunguka… nakuita wewe mwenye mali, njoo tushirikiane, lete mali tuuze, upate chako, nipate changu kadri ya makubaliano.

Kwa walio serious tu, wanicheki Inbox

Uje uone eneo na tukubaliane.
IMG_20250105_134713.jpg
IMG_20250105_134619.jpg
IMG_20250105_134707.jpg
 
Kuna wakati niliwahi kupitia changamoto kama hii ya kwako! Uamuzi niliouchukua ulikuwa ni ule wa kubinafsisha tu ile frame kwa mtu mwenye mtaji, na aliyejipanga. Na wala sikuwahi kuwazia habari ya ushirika.
 
Back
Top Bottom