Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chadema inakubalika sanaa nchini kuwazuia ni kuaongezea umarufu, police jifunzeniKatika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake ( CHADEMA DIGITAL )
Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
kabisa yaani !!CCM bila dola, hakuna kitu.
Nionyeshe vibali vya Hamdu Shaka au Chongolo vinavyowaruhusu kuzurula nchi nzima .Ana kibali?
Kibali cha nini wewe pimbi?Ana kibali?
Ila kipindi cha JK hayo mambo ya vibali haikuepo, huyu mwendazake ndo alianzisha huu ushenzi, katika multiparty democrancy vibali hivyo vilisha tolewa na katiba tayari kwenye kipengere cha "freedom of political expression"Wafuate sheria
Mungu ibariki CHADEMA [emoji1545]Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake ( CHADEMA DIGITAL )
Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
Cha niniAna kibali?
Alishindwa kuimaliza katili muuaji Magufuli mpaka akimalizika yeyeKatika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake ( CHADEMA DIGITAL )
Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
Maandamano ya magari
Ya niniMaandamano ya magari
aminaMungu ibariki CHADEMA [emoji1545]