Pre GE2025 Morogoro: Rais Samia akumbana na Bendera ya CHADEMA, Ajiegemeza kwenye 4R

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo pana tawi la chadema, lazima bendera iwepo, halafu samia ni rais wa watanzania woooteee, labda ujiulize kwanini wachadema wamesimama na kumsikiliza rais?
 
Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro amejithibitishia.

Ameuona Moto wa Chadema yeye mwenyewe na amejua kwamba hatutanii, na sasa kishaelewa kwamba Viongozi wake wanampiga fix dhahiri ili waendelee kuteuliwa.

Baada ya Rais kuona Maji ya Shingo, Ameongea kiutu Uzima kwamba hayo ni matunda ya 4R, huku sisi wengine tukichekea pembeni, Maana tunafahamu kwamba hakuna cha 4R wala nini.
Huu mkutano ni wa serekali,na huyu ni Rais wa wote,bila kujali itikadi za vyama.Na hii inaonyesha kuwa hata CHADEMA,wanamkubali nq kumpenda Rais wetu kipenzi.
 
Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro amejithibitishia.

Ameuona Moto wa Chadema yeye mwenyewe na amejua kwamba hatutanii, na sasa kishaelewa kwamba Viongozi wake wanampiga fix dhahiri ili waendelee kuteuliwa.

Baada ya Rais kuona Maji ya Shingo, Ameongea kiutu Uzima kwamba hayo ni matunda ya 4R, huku sisi wengine tukichekea pembeni, Maana tunafahamu kwamba hakuna cha 4R wala nini.
Subiri chaguzi uone moto. CDM kwisha, mtashindwa asubuhi na mapema. Chama gani cha kitanguliza matusi tu. Nadhani hata majumbani kwao ukienda ni matusi tu hata watoto ukifika unaambulia matusi badala ya salamu na kukaribishwa.
 
Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro amejithibitishia.

Ameuona Moto wa Chadema yeye mwenyewe na amejua kwamba hatutanii, na sasa kishaelewa kwamba Viongozi wake wanampiga fix dhahiri ili waendelee kuteuliwa.

Baada ya Rais kuona Maji ya Shingo, Ameongea kiutu Uzima kwamba hayo ni matunda ya 4R, huku sisi wengine tukichekea pembeni, Maana tunafahamu kwamba hakuna cha 4R wala nini.
hii nguvu ya kusema ccm inapumulia mashine umeitoa wapi au umefanya tafiti gani..? yani hiyo bendera moja ya manyumbu ndio umetoa maamuzi ya jumla. jaribu kuficha ujinga wako kwenye mbele za watu
 
Kinachokuliza ni nini?
 
Masikini wengi wanaamini ccm itatawala milele
hakuna marefu yasiokua na ncha ila sio kizaz ik cha kina mbowe wala lisu watakaokuja itoa madarakan wanahtajika brainer zaid hawa wapgania ruzuk na madaraka wakiitwa ikul wanatok wana tabasam na wanaoridhka na michango ya v8 awana jipya kaka itatawal tu bado ipo san
 
Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro amejithibitishia.

Ameuona Moto wa Chadema yeye mwenyewe na amejua kwamba hatutanii, na sasa kishaelewa kwamba Viongozi wake wanampiga fix dhahiri ili waendelee kuteuliwa.

Baada ya Rais kuona Maji ya Shingo, Ameongea kiutu Uzima kwamba hayo ni matunda ya 4R, huku sisi wengine tukichekea pembeni, Maana tunafahamu kwamba hakuna cha 4R wala nini.
Ipo shida, inamaana Samia(sijajua kama nia ziara ya rais au mwenyekiti wa CCM)! Na yeye hajui hiyo ziara ni ya kiserikali au kichama maana ameongea kama ziara ni ya kichama zaidi, si ya kiserikali.
 
Yeye mwenyewe hajui kama ziara hiyo ni ya ccm au serikali!
 
Back
Top Bottom