JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Mh Raisi anafanya sana hii mikutano na taasisi za kikristo,Hawa ni wadau wa maendeleo lakini sio pekee,akutane na sekta binafsi,ndiyo inayotoa ajira na kukuza uchumi,akutane na wafanyabiashara,wasanii wa bongofleva,vijana wa vyuo vikuu,wanataaluma,wanasayansi,na matajiri.Sisi tunataka katiba mpya. Nothing more or less.
Watu wadini Hawa siku zote wanataka favour tu,hawaleti pesa mezani,hawajengi viwanda,wanataka wasilipe Kodi wakileta magari ya hospitari zao lakini huduma hawatoi Bure.
Mhe Raisi kutana na Bakheresa,IPP media, Mo dewji,na matajiri wengine wengi