Morogoro Rd: Kibanda Cha Mkaa - Wananchi wamefunga Barabara muda huu! Mbezi hakuendeki

Morogoro Rd: Kibanda Cha Mkaa - Wananchi wamefunga Barabara muda huu! Mbezi hakuendeki

Kutofuata sheria ni changamoto sana kwa baadhi ya madereva hapa nchini
 
Upo sahihi sana.

Kwa hiyo hii inayoshikamana na stand wangeiuwa ikatumika ile kule chini karibu na daraja,natamani wahusika wangekuwa wanapita hapa waone hili wazo.
Unaandika ujinga gani huu.

Kwahiyo mtu akitaka kuvuka hapa, atembee mpaka kuleeee nilipo kivuko.

Huoni unazidi kuwatesa Pedestrians na kuwashawishi wavuke sehem isio na Zebra.

Ni sawa na useme eti Tanroad wakiondoe kivuko cha Ubungo Riverside watu wakavukie Hostel.

Tumia akili.
 
Nimekuelewa vizuri sana.

Ila sijajua kwanini umelazimika kutumia maneno hayo kuipinga hoja yangu,hope mawazo yako unayohisi ni mazuri kuliko ya wengine ndiyo yamezifanya mamlaka ziweke traffic lights hapo eneo la tukio.
 
Njia hiyo kero kwa 50 km speed limit yaaninina bore mnooo sasa kama wao wanasema wanagongwa hata sielewi
 
Back
Top Bottom