MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Dawa yao wanaijuamadereva wa magari wana roho mbaya sana
Kwa akili za mi Africka bila kufanyiwa hivo watu watapasuliwa kila sikuWewe ni pumbaf, stupid kabisa
Unaandika ujinga gani huu.Upo sahihi sana.
Kwa hiyo hii inayoshikamana na stand wangeiuwa ikatumika ile kule chini karibu na daraja,natamani wahusika wangekuwa wanapita hapa waone hili wazo.
Nimekuelewa vizuri sana.Unaandika ujinga gani huu.
Kwahiyo mtu akitaka kuvuka hapa, atembee mpaka kuleeee nilipo kivuko.
Huoni unazidi kuwatesa Pedestrians na kuwashawishi wavuke sehem isio na Zebra.
Ni sawa na useme eti Tanroad wakiondoe kivuko cha Ubungo Riverside watu wakavukie Hostel.
Tumia akili.