Alikuwa tembo kesha ondoka labda apige picha za nyayo zake.Picha ili tuamini kama Tomaso!
RPC afande Muslimu yuko makini sana akipata taarifa leo leo atapatikana aliyeterekeza chanja akalitoeRTO nadhani ujumbe utamfikia
WATALIFANYIA KAZI .Tumepita usiku ilikuwa giza na ghafla chuma hiki hapa
Tumepita usiku ilikuwa giza na ghafla chuma hiki hapa
Nimepita Jumamosi jioni kwenda Mbeya lilikuwepo, jana nimerudi Dar usiku lilikuwepo, mimi siishi hapo lilipo, tambua nilikuwa kwenye public transportWewe umesema tangia last wiki jumamosi liko hapo, umeshindwa vipi kupiga picha kama tangia juzi liko hapo.
mwaka fulani ivi nakumbuka kulikuwa na wanamuziki walogongaga lori lililokuwa limesimama maeneo ya mikumi na wengi waliangamiaTego hilo sooon litanyonya
mwaka fulani ivi nakumbuka kulikuwa na wanamuziki walogongaga lori lililokuwa limesimama maeneo ya mikumi na wengi waliangamia
Tego hilo sooon litanyonya