Morogoro: Shule ya Wasichana ya At-Taanun Islamic inawaka moto usiku huu

😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Shule za bweni wanachemsha maji na heater..

Na wazembe ..hakuna cha ajabu..

Kariakoo ni soko na store kwa pamoja
Anything can happen...

Mimi wala sioni cha ajabu so far
 

Wanafunzi Watano wa Shule ya Wasichana ya Kiislamu ya AT-TAAUN wamewaishwa Hospitali ya Rufaa Morogoro baada ya kupata mshtuko kutokana na ghorofa mbili za bweni la Shule hiyo kuwaka moto usiku huu wa July 11
 
Na mbaya zaidi nchi ina magari mengi mno ya maji ya kuwasha(kuzuia maandamano)kuliko magari ya zimamoto na maafa mengine!
Hata hayo ya maji ya kuwasha yanaweza kutumika kuzima moto, ikishikana basi yatumike kwenye kilimo cha umwagiliaji!
 
View attachment 1849085
Wanafunzi Watano wa Shule ya Wasichana ya Kiislamu ya AT-TAAUN wamewaishwa Hospitali ya Rufaa Morogoro baada ya kupata mshtuko kutokana na ghorofa mbili za bweni la Shule hiyo kuwaka moto usiku huu wa July 11
Tunaomba mwendelezo wa taarifa kuhusu hali za wanafunzi je wapo Salama?
 
Aisee poleni na kariakoo nasikia sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…