Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hao ni machawa na ID na Daudi, zipo kama 4 hiviHivi mna akili kweli au mumebakisha mavi kichwani

Naona amekuja na ID mpya kimkakati akishtukiwa anahamia nyingine.Kafulila aka Tumbili kwenye ID nyingine akijisifia cc Matrix19
Unaweka uzi halafu bado unajisifia mwenyewe tumbili.Tanzania kwa Samia ni salama sana
Kabisa aiseeHii ndio kazi inayomfaa, siasa alikuwa mno mkweli nakukosana na baadhi ya watu.
Hongera|||MASAA 2 BILA KUSOMA POPOTE.-MHADHIRI SUA.
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPPC, akihutubia katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisisitiza wajibu wa taasisi hiyo kubwa yenye historia pana kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa dira ya taifa na mpango wa maendeleo wa miaka minne (2027–2031). Alieleza kuwa katika dira hiyo, imeainishwa wazi kwamba asilimia 70 ya utekelezaji wa mpango huu itatokana na sekta binafsi, jambo linalohitaji fikra za ubunifu na mbinu za nje ya boksi ili kufanikisha malengo ya taifa.
Kafulila alifafanua kuwa mpango wa Nne unakadiriwa kugharimu zaidi ya shilingi trilioni 477, ukilinganishwa na mpango wa Tatu uliomalizika ambao uligharimu takribani shilingi trilioni 114. Alisema hali hii inaonyesha kuwa mpango wa sasa ni karibu mara nne ya gharama za mpango uliopita, hivyo kuashiria ukubwa wa malengo na matarajio ya maendeleo ya taifa.
Akizungumzia sekta ya kilimo, Kafulila alieleza kuwa kilimo kwa maana pana—mazao, ufugaji na uvuvi—kimepewa kipaumbele cha kipekee kwa kuhitaji uwekezaji wa shilingi trilioni 47.9, sawa na asilimia 10 ya mpango mzima. Aidha, alibainisha kuwa asilimia 40 ya fedha hizo zinatakiwa zitokane na sekta binafsi, jambo linalothibitisha kuwa bila ubia wa sekta binafsi mapinduzi ya kilimo hayawezi kufanikishwa.
Kafulila alihitimisha kwa kusisitiza umuhimu wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi kama njia ya kufanikisha miradi mikubwa nje ya bajeti ya serikali na kupunguza mzigo wa kifedha kwa serikali. Aliongeza kuwa kilimo kinabeba asilimia 60 ya ajira za wananchi, asilimia 25 ya uchumi wa taifa, na asilimia 23 ya mauzo ya nje, hivyo kuthibitisha kuwa ndicho kiini cha uchumi na maendeleo ya taifa.
Bwana Mdogo Kafulila naomba kuuliza swali dogo tu; Hivi humu Jf unazo account ngapi? yaani unajipigia promo sana mpaka unaboa!!!! au unamuonyeshea Shemeji?|||MASAA 2 BILA KUSOMA POPOTE.-MHADHIRI SUA.
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPPC, akihutubia katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisisitiza wajibu wa taasisi hiyo kubwa yenye historia pana kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa dira ya taifa na mpango wa maendeleo wa miaka minne (2027–2031). Alieleza kuwa katika dira hiyo, imeainishwa wazi kwamba asilimia 70 ya utekelezaji wa mpango huu itatokana na sekta binafsi, jambo linalohitaji fikra za ubunifu na mbinu za nje ya boksi ili kufanikisha malengo ya taifa.
Kafulila alifafanua kuwa mpango wa Nne unakadiriwa kugharimu zaidi ya shilingi trilioni 477, ukilinganishwa na mpango wa Tatu uliomalizika ambao uligharimu takribani shilingi trilioni 114. Alisema hali hii inaonyesha kuwa mpango wa sasa ni karibu mara nne ya gharama za mpango uliopita, hivyo kuashiria ukubwa wa malengo na matarajio ya maendeleo ya taifa.
Akizungumzia sekta ya kilimo, Kafulila alieleza kuwa kilimo kwa maana pana—mazao, ufugaji na uvuvi—kimepewa kipaumbele cha kipekee kwa kuhitaji uwekezaji wa shilingi trilioni 47.9, sawa na asilimia 10 ya mpango mzima. Aidha, alibainisha kuwa asilimia 40 ya fedha hizo zinatakiwa zitokane na sekta binafsi, jambo linalothibitisha kuwa bila ubia wa sekta binafsi mapinduzi ya kilimo hayawezi kufanikishwa.
Kafulila alihitimisha kwa kusisitiza umuhimu wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi kama njia ya kufanikisha miradi mikubwa nje ya bajeti ya serikali na kupunguza mzigo wa kifedha kwa serikali. Aliongeza kuwa kilimo kinabeba asilimia 60 ya ajira za wananchi, asilimia 25 ya uchumi wa taifa, na asilimia 23 ya mauzo ya nje, hivyo kuthibitisha kuwa ndicho kiini cha uchumi na maendeleo ya taifa.
Upi?UFISADI wa HECHE UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI UFISADI
Kafulil hajui anachotafutaBwana Mdogo Kafulila naomba kuuliza swali dogo tu; Hivi humu Jf unazo account ngapi? yaani unajipigia promo sana mpaka unaboa!!!! au unamuonyeshea Shemeji?
Jamaa ni kichwa kweli kwwli|||MASAA 2 BILA KUSOMA POPOTE.-MHADHIRI SUA.
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPPC, akihutubia katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisisitiza wajibu wa taasisi hiyo kubwa yenye historia pana kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa dira ya taifa na mpango wa maendeleo wa miaka minne (2027–2031). Alieleza kuwa katika dira hiyo, imeainishwa wazi kwamba asilimia 70 ya utekelezaji wa mpango huu itatokana na sekta binafsi, jambo linalohitaji fikra za ubunifu na mbinu za nje ya boksi ili kufanikisha malengo ya taifa.
Kafulila alifafanua kuwa mpango wa Nne unakadiriwa kugharimu zaidi ya shilingi trilioni 477, ukilinganishwa na mpango wa Tatu uliomalizika ambao uligharimu takribani shilingi trilioni 114. Alisema hali hii inaonyesha kuwa mpango wa sasa ni karibu mara nne ya gharama za mpango uliopita, hivyo kuashiria ukubwa wa malengo na matarajio ya maendeleo ya taifa.
Akizungumzia sekta ya kilimo, Kafulila alieleza kuwa kilimo kwa maana pana—mazao, ufugaji na uvuvi—kimepewa kipaumbele cha kipekee kwa kuhitaji uwekezaji wa shilingi trilioni 47.9, sawa na asilimia 10 ya mpango mzima. Aidha, alibainisha kuwa asilimia 40 ya fedha hizo zinatakiwa zitokane na sekta binafsi, jambo linalothibitisha kuwa bila ubia wa sekta binafsi mapinduzi ya kilimo hayawezi kufanikishwa.
Kafulila alihitimisha kwa kusisitiza umuhimu wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi kama njia ya kufanikisha miradi mikubwa nje ya bajeti ya serikali na kupunguza mzigo wa kifedha kwa serikali. Aliongeza kuwa kilimo kinabeba asilimia 60 ya ajira za wananchi, asilimia 25 ya uchumi wa taifa, na asilimia 23 ya mauzo ya nje, hivyo kuthibitisha kuwa ndicho kiini cha uchumi na maendeleo ya taifa.
Kwani wewe unatafuta nini?Kafulil hajui anachotafuta