MOROGORO SUA: David Kafulila ahutubia masaa 2 pasina kusoma popote, Tumpongeze

Hongera
 
Bwana Mdogo Kafulila naomba kuuliza swali dogo tu; Hivi humu Jf unazo account ngapi? yaani unajipigia promo sana mpaka unaboa!!!! au unamuonyeshea Shemeji?
 
Upi?
 
Bwana Mdogo Kafulila naomba kuuliza swali dogo tu; Hivi humu Jf unazo account ngapi? yaani unajipigia promo sana mpaka unaboa!!!! au unamuonyeshea Shemeji?
Kafulil hajui anachotafuta
 
Jamaa ni kichwa kweli kwwli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…