Morogoro: Tembo waharibu zaidi ya hekari 700

Morogoro: Tembo waharibu zaidi ya hekari 700

Ila anaweza kudhalilishwa na wahuni wa maccm kwa kupewa sumu ya panya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwanini msiwe mnaanzisha nyuzi zenu na huyo jamaa yako, mtu kaleta uzi wake halafu nyie mnaingiza mambo yenu? Sio poa namna hiyo!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Huyo afisa ahojiwe vizuri atoe maelezo ya kitaalam. Kama hao tembo walipita kutoka upande mmoja kwenda mwingine wa hizo ekari basi hiyo ni njia ta tembo na hamna kuwalaumu tembo hapo. Siyo kuweka maneno ya kutegesha eti tembo wamevutiwa na harufu lakini pia wanakumbukumbu.
Probably hiyo itakuwa njia ya tembo ya miaka mingi coz tembo ana uwezo wa kutunza kumbukumbu kwa muda wa miaka 50 so sishangai leo hii hao tembo kuikumbuka njia yao.
Wananchi wa hiko kijiji ndio wavamizi
 
Huyo afisa ahojiwe vizuri atoe maelezo ya kitaalam. Kama hao tembo walipita kutoka upande mmoja kwenda mwingine wa hizo ekari basi hiyo ni njia ta tembo na hamna kuwalaumu tembo hapo. Siyo kuweka maneno ya kutegesha eti tembo wamevutiwa na harufu lakini pia wanakumbukumbu.
Katoa maelezo simple as he is ain't animals' expert.
 
Back
Top Bottom