MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Halafu wewe bila aibu unakuwa wa kwanza kupanda. Tuache na ******** wetu we pambana na hali yako kama unaona havikuhusu.Ushamba tu unawasumbua, huko Afrika kusini makaburu walijenga mareli ya kisasa na maflyovers lakini walipingwa kwa sababu ya matendo yao ya kutokujali haki za wenyeji, hivyo hii serikali ya ccm haina tofauti na hao makaburu wa SA maana leo hii magofool mmemfanya mungu mtu asiyekosoleka, na ukimkosoa utakiona cha mtema kuni