Halafu wewe bila aibu unakuwa wa kwanza kupanda. Tuache na ******** wetu we pambana na hali yako kama unaona havikuhusu.Ushamba tu unawasumbua, huko Afrika kusini makaburu walijenga mareli ya kisasa na maflyovers lakini walipingwa kwa sababu ya matendo yao ya kutokujali haki za wenyeji, hivyo hii serikali ya ccm haina tofauti na hao makaburu wa SA maana leo hii magofool mmemfanya mungu mtu asiyekosoleka, na ukimkosoa utakiona cha mtema kuni
Same old Videos recycled to enhance a certain propaganda.Hili huwa tunaita povu. Jitahidi tena.
Kwa taarifa yako hiyo YouYube account niya Yarp MerkeziSame old Videos recycled to enhance a certain propaganda.
Wewe mkongomani nilikuambia uambie mod akufungulie section yako ya Congo news and politics tuweze kuangalia maendeleo ya Congo. Hivi unajua Nchi yenu inategemea Kenya zaidi?y
Kwa taarifa yako hiyo YouYube account niya Yarp Merkezi
Magufuli amemtesa nani? Au mkuu ulikuwa na Vyeti feki nini..Ushamba tu unawasumbua, huko Afrika kusini makaburu walijenga mareli ya kisasa na maflyovers lakini walipingwa kwa sababu ya matendo yao ya kutokujali haki za wenyeji, hivyo hii serikali ya ccm haina tofauti na hao makaburu wa SA maana leo hii magofool mmemfanya mungu mtu asiyekosoleka, na ukimkosoa utakiona cha mtema kuni
Halafu watakwambia wanataka Uhuru wa mawazo, wanataka kusikilizwa, he hehehe..Duh. Hili sasa ni povu. leo hii unaanza kushabikia makaburu!!!? Nadhani vijana mnamapatizo ya kijinga sasa. We need to take care of you kwenye mitandao.
Wacongo ni Watz mzee,Naona jamaa wa Congo unajilazimisha kwenye nchi ya wenyewe
Wacongo wanasaidia TZ na nini? Hawa watu kazi ni kupigana miaka nenda miaka rudi. Wana mali chini ya ardhi lakini vita ndio wanapenda zaidi.Wacongo ni Watz mzee,
Njoo dar uone vile wapo wengi wanafurahia maisha pamoja nasi, wengi wao wako very talented, hawana ukora na wizi na ujuaji na Roho mbaya kama Wakenya,
Binafsi nawakubali sana Wacongo, hawanaga makuu na Mtu,
Besides, Congo is Tz's very important brother and Trading partner.
How many people died during your 2017 elections,Wacongo wanasaidia TZ na nini? Hawa watu kazi ni kupigana miaka nenda miaka rudi. Wana mali chini ya ardhi lakini vita ndio wanapenda zaidi.