Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Kwanza walipe compensation kwa abiria kwa ule usumbufu!eti milango ilifunguliwa ili watu wapumue 😀 😀...kuna boya mmoja anasikika akisema umeme ukikatika abiria hatojua...mara oooh umeme ukikatika treni inatunza umeme wake inaweza tembea kilomita 100 (mia moja) bila umeme wa nje.Hivi huyu boya si achukue ustaarabu ajiudhuru atoke kwenye ofisi ya umma,??...yaani utudanganye uongo wa muda mfupi Mungu akuanike mapema hivi bado ung'ang'anie kukaa ofisi za umma. Wanatutia aibu hawa jamanii!!!...wameharibu ratiba za watu...na nibora ...waruhusu watu kubeba vyakula waingie navyo ndani, na shangazi kaja ziruhusiwe watu waingie nazo....wasitupangie maujinga yao🙁🙁