ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
Nimehamia Morogoro huu mwaka wa saba,ambacho sikielewi ni manispaa kushindwa kujenga njia ya mzunguko itakayo unganisha Kihonda,Tungi, Kingolwira, Msongeni, Bigwa. Sanga sanga, Mazimbu, Kihonda.
Faida;
1.Njia hii itapunguza foleni ya gari zote kuingia msamvu.
2.Itafungua kata ya Tungi,Yespa,na Kingolwira.
3.Pakitokea dharura njia mbadala itakuepo.
4.Kingolwira wameshaweka njia pana ya Mita 40 ambayo haitohitaji fidia na njia imenyooka vizuri sababu ni wakazi wanajitambua walitenga njia pana.
5.Na pakijengwa na machinjio kwenye bonde la galaxy yatarahisisha utolewaji wa taka taka za machinjioni na hapana msongamano wa watu karibu.
6.Pata mrahisishia muwekezaji wa kuku kusafirisha nyama zake kwenda nje ya nchi kirahisi.
7.Mjerumani mkulima wa mboga mboga nae(Kimamba farm) atatumia fursa hii ya kufungua kipera na kingolwira.
Kwenda kambi ya pangawe kwa wanajeshi patarahisishwa .
Kuliko hii ya Nane nane gronence kutokea oilcom nane nane yaani ni kufurahisha wawekezaji wa guest tu sijapenda.
Nawaomba manispaa wawe wanafuatilia pembezoni na changamoto za wananchi.