Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Kingdom akamatwa akiiba misalaba ya chuma, makaburi ya Kola, mkoani Morogoro.
Kijana huyo alisema hii ni mara yake ya kwanza kuiba misalaba na ni ugumu wa maisha umemfanya aibe misalaba. Kijana huyo alisema huuza misalaba hiyo kama chuma chakavu ambayo humpatia shilingi elfu moja kwa kilo.
Kijana huyo alipigwa na wananchi hadi kufikia hatua ya kutoa haja kubwa kabla ya kuokolewa na polisi waliofika eneo la tukio ili kuokoa maisha yake.