Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Uzalishaji wa zao la ndizi umeaanza kuathirika katika baadhi ya mashamba ya migomba katika Kata za manispaa ya Morogoro ikiwemo Kata ya Kauzeni na Mzinga kufuatia mashamba yao kuathiriwa na ugonjwa wa fungashada ya migomba kuanzia mwaka jana.
Godfrey Yanda na Ally Kondo ni wakulima wa zao la ndizi wakizungumza na kituo hiki mara baada ya kitembelewa kwenye mashamba yao wamesema walianza kuona hali ya tofauti kwenye mashamba yao na kuathiri uzalishaji wa zao la ndizi hali iliyopelekea kuathiri pia kipato chao kutokana na mauzo ya ndizi walizokuwa wakivuna kwenye mashamba hayo.
Dr Filbert Luhunga Kutoka Tume ya Taifa ya Teknolojia (COSTECH amesema kutokana na Hali hiyo COSTECH imewakutanisha watafiti wataalam wa Kilimo wakulima,wasafirishaji na wanahabari kuwapatia elimu ya kutambua dalili za ugonjwa huo, namna unavyoenea na hatua za kuchukua ili kuudhibiti kutokana na ugonjwa unaoenezwa