Morogoro: Warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Morogoro: Warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Mkuu, usiache kupita Chipukizi au Kahumba, utanishukuru
Kiukweli hii kazi hapa ni kazi kubwa na kazi ngumu, hivyo baada ya kazi, lazima mtu upite mahali upate dawa!, ni mwendo wa kazi na dawa!.
P
 
Warsha imemalizika, Mkurugenzi Mkuu wa PDPC, Dr. Emmanuel Mkilia, amefunga warsha.

Asanteni kwa kufuatilia.
Siku njema.
P
 
Back
Top Bottom