Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ni kijana wa affiliation gani? chadema? CCM, ACT? etc etc. If not, then huo unaweza kuwa uhalifu wa kawaidaAsubuhi ya leo, umepatikana mwili wa mtu ambaye hajatambulika kutokana na mwili kuharibika vibaya baada ya kuuawa kisha kutupwa vichakani kwenye eneo la makaburi ya Kola - Morogoro mjini.
Uhalifu si kitu cha kawaida ndugu.Ni kijana wa affiliation gani? chadema? CCM, ACT? etc etc. If not, then huo unaweza kuwa uhalifu wa kawaida