Doh!!Ajali imehusisha magari matatu, Coaster, lorry, na gari dogo cresta, dereva wa Coaster inasemekana ndio amesababisha hiyo ajali kwa kujaribu kuyapita magari yaliyokuwa mbele yake bila kuchukua tahadhari, Coaster ilikuwa inasafirisha mwili wa marehemu toka Dar kwenda Mbeya kwa mazishi.
Hii sasa, ndio leo naisikia masikioni mwangu, Yaani, Marehemu anakutana na ajali nyingine tena??
Inaumiza sana, Inafikirisha sana kwa ndugu jamaa na marafiki wote walioondokewa na ndugu yao