Morogoro: Watu 5 wapoteza maisha, wengine 24 wajeruhiwa katika ajali ya gari

Doh!!

Hii sasa, ndio leo naisikia masikioni mwangu, Yaani, Marehemu anakutana na ajali nyingine tena??

Inaumiza sana, Inafikirisha sana kwa ndugu jamaa na marafiki wote walioondokewa na ndugu yao
 
Doh!!

Hii sasa, ndio leo naisikia masikioni mwangu, Yaani, Marehemu anakutana na ajali nyingine tena??

Inaumiza sana, Inafikirisha sana kwa ndugu jamaa na marafiki wote walioondokewa na ndugu yao
Mkuu Siku Yao Umefika... Anything Happen for a Reason Maana Hakuna Jambo linalotokea bila kuwa na Sababu [emoji120][emoji120]
 
Yule chawa wa msando kasemaj?
Poleni wafiwa
 
Kwako Mshana Jr, hii kitaalamu tunaitaje!?
Poleni wafiwa na waliopatwa na madhira haya.
 
Kwako Mshana Jr, hii kitaalamu tunaitaje!?
Poleni wafiwa na waliopatwa na madhira haya.
Mbona taarifa ya Polisi Leo asubuhi wanaeleza kama kulikuwa hakuna maiti kwenye huo msafara, ingawa picha na maua yalikuwepo.
 
Uzoefu wa safari ndefu hapo unahusika, isije kuwa dereva wa daladala unampa trip ya Dar Mbeya.
 
Inasemekana hiyo coaster iliyokua inadaiwa kusafirisha mwili wa marehemu haikua na marehemu bali waliweka jeneza tu kisha waliweka maua mbele ya gari ili wasiulizwe na askari na badala yake kumbe gari ilikua inasafirisha abiria bila kibali/idhini kutoka kwenye mamlaka husika.
 
Jamani huu ubunifu unakribisha pepo la mauti!!
 
Wakati wa Mwendazake ajali zilipungua sana.

Haturajii madereva waanze kupima kina cha maji.
 
Yaan unashindwa kutofautisha majukwaa....kwa kweli mods wana kazi asee
Nafikiri ndg ujumbe ni muhimu zaidi kuliko kujua amepost jukwaa gani, maana ni wenzetu hao waliopotwa na tukio hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…