Mungu wangu..huo sio mguu mzuri kabisaWakuu, huko Morogoro wakwetu adv. Msando kaanza na simanzi, eneo la Oilcom ajari mbaya imetokea Coaster inatokea Dar ikiwa na abiria na lori la mizigo zimegongana uso kwa uso kwenye Coaster.
=====
Watu watano wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria Aina ya Coaster na Lori la mizigo katika eneo la Oil Com nanenane mjini Morogoro.
View attachment 1826195
Kila mtu ana ulevi wake, acha ale beer maisha yenyewe mafupi, na serikali inategemea walevi na wanywaji katika kodiAlbert msando ni mlevi mbwa
KweliAlbert msando ni mlevi mbwa
Msando ana Gundu hajawai kugombea nafasi akashinda ila juzi amebahatika kupata uteuzi na ameingia na Mikosi hakika hatodumu huko.
Mbona unamnanga mmenye mwenzako