Matapeli kama kina Makoy...muulize akuhadithie alivyomuibiaga yule comrade vifaa vya ujenzi wakati akiwa na ngulelo hardware ilikuwaje...aliomba msamaha na magoti... sio Kila mtu anaibiwaga mwambie...comrade alikuwa kiongozi mkubwa tu wa chama hapo Arusha mjini
Akueleze kwanini huko Hai alikamatwa na kutupwa rumande...alifanya utapeli Gani kwa kujifanya mwekezaji...ana mambo mengi machafu makoi