Morrison aanza kuwaendesha Yanga huko mtandaoni😂

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Admin wa mitandao ya kijamii ya Yanga ana kazi ya ziada msimu huu😆😆😆
5D994DA4-7ADB-4F3F-96D8-B3D94AED17A5.jpeg
F18860E9-FA29-4937-BCA0-A37536FCD0C3.jpeg
 
Tangu lini morrison ajue kiswahili, hapo account yake ipo kwa graphic designers wa mabingwa ndio wameandika hivyo ili kuweka picha yake
 
Mbilikimo kutoka West Africa ndiyo wanawaleta Bongo. Cream of the crop wa West Africa wanacheza ligi kubwa Ulaya.
 
Mbumbumbu fc wamekua kama wehu, K Aziz amewachanganya sana.
 
Tangu lini morrison ajue kiswahili, hapo account yake ipo kwa graphic designers wa mabingwa ndio wameandika hivyo ili kuweka picha yake
Anajua baadhi ya maneno na anaongea kwa ufasaha tu kiswahili
 
Tangu lini morrison ajue kiswahili, hapo account yake ipo kwa graphic designers wa mabingwa ndio wameandika hivyo ili kuweka picha yake
Kuna siku nilikuwa nafuatilia kipindi flan clouds tv kwenye mahadhimisho ya kiswahili waliweka compilation morison akiongea kiswahili na akasema mkude humfundishag matusi
 
Hapo hujaelewa kitu gani? Anamaanisha kwamba nayeye ana picha na Rais post ili tuwaumize, akamaliza kwa kuuliza sisi tuna nn? Unamalizia kwa kusema sisi tuna watu.

Hiyo ndiyo tafsiri yake mzee.
Ni kama vile wamepanga kati ya admin na Morrison
 
Mbumbumbu fc wamekua kama wehu, K Aziz amewachanganya sana.

Alianza Bernad kuwachanganya akili.

Kabla hawajakaa sawa Gael katia mguu.

Hawajamaliza ya Gael, Aziz Ki kaingia mjini.

Sasa hivi hawajui washike lipi waache lipi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo hujaelewa kitu gani? Anamaanisha kwamba nayeye ana picha na Rais post ili tuwaumize, akamaliza kwa kuuliza sisi tuna nn? Unamalizia kwa kusema sisi tuna watu.

Hiyo ndiyo tafsiri yake mzee.

Kwa akili ya mleta mada alidhani hapo Morrison ndio ameleta shida.

Yaani mwaka huu kila atachokifanya kwao wanaona shida tu.
[emoji23][emoji23]
 
Hapo hujaelewa kitu gani? Anamaanisha kwamba nayeye ana picha na Rais post ili tuwaumize, akamaliza kwa kuuliza sisi tuna nn? Unamalizia kwa kusema sisi tuna watu.

Hiyo ndiyo tafsiri yake mzee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom