Morrison adaiwa kurejea Yanga

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mchezaji Bernad Morrison inasemekana amerudi tena Yanga kuendelea na kazi yake ya uwakili msomi, hata hivyo pamoja na uzuri wake dimbani bado mchezaji huyo ni liability na sio asset.

Yanga wakae wakijua kuwa mchezaji huyo haruhusiwi kuingia Afrika Kusini, pili, Morrison amekuwa na faili chafu pale Simba, kila siku matukio ya hovyo anayodanya yanajirudia rudia, this time Simba wameona hapana, mkataba wake ukiisha aende tu, hatuna cha kupoteza.

Kila la heri mwizi wa magari huko uendako.
 
Viongozi wa Yanga nao kuna wakati wanatuweka katika wakati mgumu sana mashabiki wa timu! Mfano usajili wa Haji Manara ulikuwa ni wa hovyo kabisa.

Kama ni kweli wamemsajili tena huyu mvuta bangi, basi wataonekana ni hopeless mara dufu. I wish hizo tetesi ziwe ni za uongo.
 
Kisoka huna haja ya kuongea haya, kishabiki maandazi sawa.

Hata sisi SIMBA wakati tunamsajili alikuwa na matukio hayo hayo ya ajabu.
 
Umeongea ukweli mtupu mkuu

Tuache UNAFIKI hata Kama yupo vizuri uwanjani lakini amekuwa na records mbovu sana
 
Yanga aje kufanya nini tena,kama ni kweli viongozi wengine bana matatizo
 
Nitasikitika Sana kama hizi habari ni za kweli.Mtu katuganyia uhuni na kututukana halafu arudi tena
 
Tuna watu wa hovyoo sana Tanzania, pamoja na ubora na uwezo mkubwa wa Morrison hakuna timu inayoshiriki mashindano ya CAF wanaoitaka saini ya BM3 ila sisi yanga na Simba ndio tunaomtaka tu.

BM TOFAUTI na Tanzania hakuna mahali ama Nchi yoyote anaweza kucheza mpira kufukuzwa. Ukitaka kuamini hiki Simba wamteme afu yanga wasimchukue.
 
Efue kuaribu huwa ni dk 0 tu huyu mwamba[emoji23][emoji28].
viongozi wa Simba ni kama viongozi wa Yanga,na viongozi wa Yanga ni kama viongozi wa Simba.
yatakayo tokea Simba na Yanga yatatokea pia,na yatakayotokea Yanga na Simba yatatokea pia.
ni swala la muda tu.
 
Nafikiri ni watu wanampigia chapuo, Yanga hauwezi kufanya huo ujinga kamwe
 
Bila BM3 Simba isingefika robot fainali CAFCC mwaka huu
siyo kweli labda wewe hauishi nchi hii..simba tangu miaka ya zamani inapulizia sumu vyumbani inatilia sumu kwenye vyakula vya wapinzani huko mahotelini, inatumia uchawi sasa bm3 katokea wapi tena
 
Nafikiri ni watu wanampigia chapuo, Yanga hauwezi kufanya huo ujinga kamwe
kuna watu hapo simba wanaona watakosa deal lazima watikise kiberiti kujua reaction ya mashabiki maana msimu uliopita kelele za mashabiki zilimbakiza kagere...wanajua morrison akilamba hela ya mkataba hawakosi pasenti yao
 
kuna watu hapo simba wanaona watakosa deal lazima watikise kiberiti kujua reaction ya mashabiki maana msimu uliopita kelele za mashabiki zilimbakiza kagere...wanajua morrison akilamba hela ya mkataba hawakosi pasenti yao
Kumbe akili unazo ila huwa unajichetua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…