Morrison adaiwa kurejea Yanga

Morrison adaiwa kurejea Yanga

Kama unataka kulaumu uongozi kufanyaa yao,Tuambie wewe umeweka shilingi ngapi hapo Yanga?
Tafuta pesa acha lawama.kama kusumbua atawasumbua wafanya maamuzi na pesA zao
Sisi tunataka ushindi tu na matokeo mazuri
Upande wa pili hawaulizi bilion zao,hawaulizi michango ya kiwanja, hawaulizi demu wa mo kupewa madaraka wala dadake mo kuwa mmoja wa viongozi wa simba qeen?
Fununu za kurudishwa morrison zinakaza mishipa ya shingo??!!ebu acheni hizo
Ebu achenie
 
Efue kuaribu huwa ni dk 0 tu huyu mwamba[emoji23][emoji28].
viongozi wa Simba ni kama viongozi wa Yanga,na viongozi wa Yanga ni kama viongozi wa Simba.
yatakayo tokea Simba na Yanga yatatokea pia,na yatakayotokea Yanga na Simba yatatokea pia.
ni swala la muda tu.
Ukweli mtupu mtani...😊😊😊
 
Sasa kwaakili zenu za kawaida kabisa mnategemea akitoka simba atacheza wapi kama siyo yanga? Au nimpeleke mlandege ya zanzibar
 
Viongozi wa timu hizi mbili kufanya madudu kwao ni kawaida
 
Back
Top Bottom