Sijui Morrison aliwaza nini kwa kufanya hivi alivyofanya. Yaani unaacha mpira unaenda kujiparamia kwenye miguu ya mchezaji. Pengine angefanya maamuzi zaidi ya haya aliyoyafanya ingesaidia timu ya simba kwenda mapumziko kwa magoli magoli mawili
Kajaribu ila mkeka ukakataa,kuna mingine huwa inatiki alafu mchezaji anaonekana shujaa.
Na kula ganja sio lazima iwe tatizo, ni mtazamo tu wa watu tofautiIla kwa mpira aliocheza jana, haihitaji akili kubwa kugundua huyu Morrison anakula ganja! 🚬
Hata yule Mghana mwenzake Lamine Moro naye yuko hivyo hivyo bangi tupu.Kuna wakati alikamatwa na bangi kwenye gari, baadhi ya watu wakasema eti Yanga wamemtengenezea zengwe!
Ila kwa mpira aliocheza jana, haihitaji akili kubwa kugundua huyu Morrison anakula ganja! [emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23]Alielekezwa afanye hivyo