changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Sijui Morrison aliwaza nini kwa kufanya hivi alivyofanya. Yaani unaacha mpira unaenda kujiparamia kwenye miguu ya mchezaji. Pengine angefanya maamuzi zaidi ya haya aliyoyafanya ingesaidia timu ya simba kwenda mapumziko kwa magoli magoli mawili.