Morrison akubali kubaki Simba, umafia wafanyika usiku huu, Yanga hawaamini macho yao

Ghazwat hii habari ina ukweli ?
 
yani mtu anayejua soka anauliza morison aliisaidia timu kitu gan msimu uliopita,kweli mapoyoyo ni mengi humu.fatilia mechi na magoli ya morison kimataifa
 
Yanga walitaka kimchukua Morison sababu ya revenge tu ila sio kipaumbele Chao kabisa
Binafsi sina uhakika na taarifa hii na wala kwangu hainifurahishi kama shabiki wa mnyama, lakini nakataa unaposema Yanga ilitaka kumchukua Morrison kama revenge tu. Sidhani kama Nabi angeruhusu aafutwe mchezaji si kwa ajili ya mahitaji, ila kulipa kisasi, otherwise uniambie Nabi hashirikishwi katika usajili
 
Nitafurahi hili jambo likiwa kweli. Maana kutoka moyoni simkubali huyu mchezaji pamoja na Haji Manara, kwa kukosa kwao akiba ya maneno. Ni vile tu kibinadamu inanilazimu kuwachukulia.
 
Wapuuzi kama hao ( hawa ) huwa siwacheleweshi na uzuri ni kwamba Wananijua vizuri tu.
Mamdogo nasikia watoto wanalia hapo, wanyonyeshe kidogo basi, si vyema unachat hovyo na watoto wanalia, wanyonyeshe kidogo.
 
Tusubiri tuone itakavyokua
Pole kwa kupigwa na kitu kizito kichwani. Ghafla tu umekuwa mdogo kama pirton.

Siku nyingine usicheze kabisa na umafia wa viongozi wetu. Ona sasa! usiyemtaka karudi tena.
 
Mamdogo nasikia watoto wanalia hapo, wanyonyeshe kidogo basi, si vyema unachat hovyo na watoto wanalia, wanyonyeshe kidogo.
Unatangaza hii vita ya 3 ya dunia ukiwa wapi? Kremlin, Washington DC au London? 😁😁
 
Simba hakuna Mafia yoyote, wamebaki viongozi waliokuja na mbio za mwenge. Msimu ujao mnaendelea kuteseka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitafurahi hili jambo likiwa kweli. Maana kutoka moyoni simkubali huyu mchezaji pamoja na Haji Manara, kwa kukosa kwao akiba ya maneno. Ni vile tu kibinadamu inanilazimu kuwachukulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole kwa kupigwa na kitu kizito kichwani. Ghafla tu umekuwa mdogo kama pirton.

Siku nyingine usicheze kabisa na umafia wa viongozi wetu. Ona sasa! usiyemtaka karudi tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hata, vyovyote itakavyokua na iwe.
Akiondoka n sawa, akibaki n sawa.
 
Alafu wewe jamaa ni punga kweli kweli, Kama ameshasaini yanga iyo ishatoka labda Kama alikuwa ajasaini, lakini Kama alikuwa amshasaini Ina maana akuna namna simba imrubuni tena kusaini kwao kwa maana ata mkataba wake umebakisha mwez 1 kumalizika ivyo sidhani Kama anaweza kusaini timu 2 labda Kama ataki tena kucheza mpira Tanzania, Simba Kama walizubaa kumuongezea mkataba na yanga wakamuwai iyo imekula kwenu hizo habari za umafia endeleeni nazo mwisho wa siku itajulikana mbele ya safari
 
Tatizo hana adabu.
 
Hii habari siiamini, infact sitaki Morisson abaki Simba SC, aondoke, Simba SC is way much bigger than bangi za Morisson.
 
Tatizo hana adabu.
Tatizo hana adabu.
Unafikiri utovu wa nidhamu Morrison unaweza kuufikia ule wa Edmund 'The Animal' wa Brazil aliyebeba World Cup 1998 (yule aliyemtwanga makofi Ronaldo De Lima wakiwa hotelini akimtuhumu kwa kufanya 'utoto' uwanjani)? Unajua kwanini walimwita The Animal? na bado Mario Zagallo wakuwa tayari kumwacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…