Morrison alikuwa sahihi

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wadau,

Kitendo cha wachezaji wa yanga wakiongozwa na Lamine kumwambia kocha amtoe Morrison kibinadamu sio sawa.

Hata ingekua ni mimi baada ya kutolewa kwa shinikizo la wachezaji wenzangu, nisingeweza kukaa benchi.

Kwahiyo, binafsi kwa tukio la jana namuunga mkono BM33.
 
Ni kweli kwamba alitolewa kwa shinikizo la wachezaji wenzake.
 
Eeh,kumbe.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Kipi kitakachotuaminisha kuwa alitolewa kwa shinikizo la wachezaji?
 
Morrison alikuwa hakabi.. kuna muda hata wenzanke walikuwa wanamuuliza vipi?

Kumtoa sizani kama wachezaj wameshinikiza.. bali ni benchi la ufundi.. kwa mpira aliokuwa anaucheza morrison hata mimi ningekuwa kocha ningemtoa kwa ushahidi wa macho yangu kumuona anacheza vibaya
 
Bench la ufundi na uongozi mzima wa Yanga wanastahili lawama zote kwa kumchezesha huyu mhuni. Kwa tabia aliyoionyesha kwa wiki tatu hizi hadi kupelekea kwenda kuishataki Yanga TFF ni dhahiri hakuwa tena na mapenzi ya kuichezea Yanga hivyo kumchezesha katika mechi muhimu na ngumu kama ya jana ule ni utopolo kabisa.
 
Kwa kweli to be fair viongozi wa Yanga na bench ni wajinga na pia wapumbavu ...yaani unamchezesha mchezaji ambaye walishitakiana huko TFF halafu alipewa sh. Dola 10,000 na timu Fulani...halafu unamchezesha tshitshimbi ambaye hajacheza mechi muda mrefu...yaani yule Morrison anatembea tu hakabi...tshitshimbi anaokoa mpira kwa kichwa anampa adui duh...
 
Mtoto akililia wembe unampa, hakuna mchezaji yanga wa kulinganishwa na simba ona mmeaibishwa jana, kwa level yenu bado mtembea juu ya bodaboda mnamuhitaji sana na hamna ubavu wa kumfukuza na msipoangalia next season mnashuka daraja tumbaf zenu...
 
tuwalaumu wachezaji wetu wa kibongo mtu kama ajibu kwann alitoka yanga akiwa kapteni na akaenda simba kwann??sasa simba kacheza mechi ngapi pale Zaidi ya bench ...akina Morrison watatushika matako mpaka tukome kwakuwa uchezaji wao wa mpira kwa hapa kwetu hakuna
 
Ronaldo mbna alitoka kwenye mechi ya juve na akaenda mojakwa moja ndani...mpra ndo ukohivoo
 
Mtoto akililia wembe unampa, hakuna mchezaji yanga wa kulinganishwa na simba ona mmeaibishwa jana, kwa level yenu bado mtembea juu ya bodaboda mnamuhitaji sana na hamna ubavu wa kumfukuza na msipoangalia next season mnashuka daraja tumbaf zenu...
kumbuka kushindanishwa kufanya mtiani na mwanafunzi wa feza boyz ada kwa mwaka mil15 alafu akahindane na mtoto mmoja wa Azania boyz...manyoya lazima
 
pesa ndo kila kitu mpira wanaocheza psg sio wa kawaida ishu ni pesa...ela anazolipwa Neymar ni mwezi tu ndo alizonazo leo rafiki yenu bilionea lazier...mpira sio story wala siasa ni uwanjani..kama beki mbovu utaambiwa uwanjani na sio kwingne ....brazil anapigwa 7 kiliwagharimu nn siku ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…