Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Morrison jana katuuza.Morrison alikuwa hakabi.. kuna muda hata wenzanke walikuwa wanamuuliza vipi?
Kumtoa sizani kama wachezaj wameshinikiza.. bali ni benchi la ufundi.. kwa mpira aliokuwa anaucheza morrison hata mimi ningekuwa kocha ningemtoa kwa ushahidi wa macho yangu kumuona anacheza vibaya