Morrison jana katuuza.Morrison alikuwa hakabi.. kuna muda hata wenzanke walikuwa wanamuuliza vipi?
Kumtoa sizani kama wachezaj wameshinikiza.. bali ni benchi la ufundi.. kwa mpira aliokuwa anaucheza morrison hata mimi ningekuwa kocha ningemtoa kwa ushahidi wa macho yangu kumuona anacheza vibaya
kumbuka kuwa kkoo kuna madalali mpaka wa mabeki tatu kwahiyo akina yipe wameletwa na nani pale yanga...utavuna ulichopandaKwa kweli to be fair viongozi wa Yanga na bench ni wajinga na pia wapumbavu ...yaani unamchezesha mchezaji ambaye walishitakiana huko TFF halafu alipewa sh. Dola 10,000 na timu Fulani...halafu unamchezesha tshitshimbi ambaye hajacheza mechi muda mrefu...yaani yule Morrison anatembea tu hakabi...tshitshimbi anaokoa mpira kwa kichwa anampa adui duh...
Pamoja sn mkuu....Me too
Azania vinaenda vichwakumbuka kushindanishwa kufanya mtiani na mwanafunzi wa feza boyz ada kwa mwaka mil15 alafu akahindane na mtoto mmoja wa Azania boyz...manyoya lazima
Mkuu kwani alicheza mwenyeweMorrison jana katuuza.
Utopolo uwelewa wao mdogo, yaan watu badala ya kulalamikia benchi la ufundi wao wanamlaumu morisoni. Timu nzima walifichwa coz hata mkataviuno( molinga), nionzima, tshishimbi n.k lakini kwa uwelewa wao mdogo wanahisi morisoni ndio tatzo. Morison angefanya nn nyie utopoloMkuu kwani alicheza mwenyewe
Huyo Morison hajaenda ndani,yeye alipanda bodaboda moja kwa moja akaenda keko kula mahindi ya kuchoma[emoji23][emoji23][emoji23]Ronaldo mbna alitoka kwenye mechi ya juve na akaenda mojakwa moja ndani...mpra ndo ukohivoo
sawa mkuuHuyo Morison hajaenda ndani,yeye alipanda bodaboda moja kwa moja akaenda keko kula mahindi ya kuchoma[emoji23][emoji23][emoji23]