Morrison amparua Manara, Senzo ahusika kutoa msaada

Morrison amparua Manara, Senzo ahusika kutoa msaada

Manara ndiye ana praise mtu ambaye haderseve huo utajiri wa mpira anaousema ( Manara is the one praising someone who doesn't deserve to be richer than Mo,. Manara ni kama chawa tu ). Morrison yuko sahihi .
Home shopping center

walikua na tra yao pale tra

leo msukule wanawalamba miguu
 
Yawezekana ikafika siku Haji akayakumbuka maneno ya BM.

Wala si muda mrefu,atayakumbuka.Manara itafikia point,Si Yanga wala Simba watakaomuhitaji,na wala Azam hawatotaka kujihusisha nae hapo ndipo atajua “Corporate works different from the Streets”
 
Acheni Haji Sunday Manara afanye anachojisikia, kama hamna matumizi nae kwanini mnaendelea kumfatilia kila siku

Kwanini mnatuma watu kila siku kwa ajili ya kumshambulia Manara, Kigogo na sasa Bm3 na wengine wengi watafuata katika kuendeleza kumshambulia
 
Kwel nzi akiacha ujinga anaanza kutengeneza asali. Hivi kumbe kichwa cha Morrison kina akili namna hii 😁😁😁
huo ni ushauri ambao yeyote mwenye akili angeweza kuutoa kwa Manara. ukiangalia Manara ameanza kuonyesha jinsi alivyomsaidia BM as if ukimsaidia mtu ndio tiketi ya kutokukukosoa
 
Yawezekana ikafika siku Haji akayakumbuka maneno ya BM.
Kweli kabisa.
Morson ameongea bonge la ushauri wenye busara. Kuendelea kutoa vijembe kwa Mo au Barbara kunamuharibia Haji maana hayajui ya mbele ya safari yake ya kimaisha.

Tujifunze kutowalipa mabaya wale waliowahi kututendea mazuri.
 
Back
Top Bottom