Morrison aonesha utovu wa nidhamu

Upo sahihi kabisa mdau,tatizo la Morrison ni kujishuku mwenyewe na inaonekana ana kinyongo na watu na hichi kinyongo nadhan kinatokana na mwenendo wa kiwango chake hivi karibuni ya kuanzia bench mara nyingi,so anaona kwamba kuna watu hawamtendei wema that is why akaamua ajilipue kwa kuonyesha ishara ile,mie naona hayupo sahihi, ata kama mashabiki wa Simba wanavyomtetea kwamba kile kitendo alichoonyesha ni "maisha binafsi" lakini wajue kwamba sio ishara nzuri kwa mchezaji wao na tena akiwa amevalia jezi kabisa ya timu yao.
 
Nategemea hata Simba watampiga adhabu
 
Mleta mada weka hata hako kakideo tuthibitishe
 
Mkuu kama humpendi na ww cha kati kinakuhusu
Mimi sio kwamba simpendi na ahsante kwa your reply,mie napenda mpira na ni muumini wa nidhamu daily,kama wewe umependa alichokifanya na kujibu hichi ulichojibu sikupingi ni maoni yako,ila jaribuni kukaa nae na mumwambie kwamba Nidhamu ndo kila kitu ata kama umefankiwa kupata kila kitu maishan mwako.
 
Umeona dogo wa Mbeya City jana alivyomtoa ulimi? Akaenda kuokolea ndani ya nyavu.
Shukuruni refa kawabeba.
 
Yes tifutifu wamemlea vibaya....toka kumsajili kwa nguvu kwa mikia anajibu kwa vitendo.
 
Hivi mashabiki mbumbumbu na mashabiki nyani, ma mbwa ya kubwekabweka a.k.a uneducated people wasiojua football kulikon. Maneno ya yule kocha wenu mlimlalamikia kwa ubaguz.
 
Hivi mashabiki mbumbumbu na mashabiki nyani, ma mbwa ya kubwekabweka a.k.a uneducated people wasiojua football kulikon. Maneno ya yule kocha wenu mlimlalamikia kwa ubaguz.
Eeh,[emoji1787][emoji1787][emoji1787],nilijua tu utakuja kwa hasira kupita na comment aginst your player.
 
Wanaovaa jezi cha wamatopeni huwa hawakosi vimbwanga.

Juzi hapa yule aliyehukumiwa kubaka Geita alikuwa ndani ya uzi wa wamatopeni.

Huyu nae anaonyesha dole la kati yupo ndani ya uzi wa wamatopeni.

Ngoja tusubiri kimbwanga kingine!
Mkulukulu yupo timu hip. Prime minister chama hilohilo. Haya mazur huyasem bwege ww
 
Mpaka siku amchome kidole Matakoni Mwamedi ndio akili itawakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…