Upo sahihi kabisa mdau,tatizo la Morrison ni kujishuku mwenyewe na inaonekana ana kinyongo na watu na hichi kinyongo nadhan kinatokana na mwenendo wa kiwango chake hivi karibuni ya kuanzia bench mara nyingi,so anaona kwamba kuna watu hawamtendei wema that is why akaamua ajilipue kwa kuonyesha ishara ile,mie naona hayupo sahihi, ata kama mashabiki wa Simba wanavyomtetea kwamba kile kitendo alichoonyesha ni "maisha binafsi" lakini wajue kwamba sio ishara nzuri kwa mchezaji wao na tena akiwa amevalia jezi kabisa ya timu yao.