Morrison hiyo ni plagiarism

Sawa bibi naona unawashwa tulia na mkia wako hatutaki senene.
 
Msamehe bure, shule ndogo inaonekana..plagiarism ktk kuchezea mpira....!?? Zidane na Ronaldinho Gaucho wangewashtaki wachezaji kibaooo[emoji383][emoji383]



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kati ya kuchezea mpira kwa Zidane, Gaucho na Morrison. Zidane na Gaucho walikuwa wakitumia talents/skills kuwahadaa wapinzani ili wawapige chenga kwa nia ya kupata ushindi wakati ambapo Morrison anachezea mpira bila kuwa na lengo la kupata ushindi bali kufanya show off tu.

Ndio maana huwezi kuwaona akina Messi wakifanya show off kwenye mechi eti kwa sababu wameshinda, ni lazima umheshimu mpinzani wako, and that's professionalism in football.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unamaanisha unakubaliana na mtoa mada kuwa alichokifanya "fundi" Morrison ni "plagiarism"?
 
Huyu mleta mada wa ajabu sana,kwenye mpira nako kuna chenga za mtu Fulani tu,
Unatia aibu kujiita mwanamichezo,fikiria kila kitu kwe soka kila MTU angeoswa kuwa na chake,Leo we we wa bangwe ungeona hata tiki taka ama bike kick nk maana zingebaki ulaya kwa aliyeanzisha,
Acha kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km ni kumheshimu usimkabe,
Unamzuiaje unaemuheshimu,
Mnaumia na vitu vidogoooo,nyie endeleeni kuwekeza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa nini isiwe huyo Msauzi ndiyo kachukua kwa Morrison?
 
We ni mbumbumbu aliyewataja Rage
 
Mbona umejibu Nje ya hoja? Alichokuwa amehoji uliyemjibu ni kuwa kama kuiba mtindo wa mchezaji mwengine ni jinai, basi Zizou na Dinho wangeshashtaki wengi kwa kuiga mitindo yao ya uchezaji. Swala ni mtindo wa uchezaji, si mbwembwe.
 
M
’Mchezaji Meenzako’ ndiye nani? Muulize Mwalim Kashasha atakutajia mbinu kibao zilizobuniwa na mchezaji mmoja na wengine wanaendelea kuzitumia hadi leo: Penalti ya Panenka, Cruyff turn, CR7 Chop, Berbatov spin, Mcgeady spin, Bolaise 360 spin, Bicycle kick ndiyo usiseme: kuna ya Pele (1968), ya Leonidas (1932) na hata ya Unzaga (1914) labda kwa sababu zama hizo watu hatakuwa wakizina mechi mubashara na kwa hivyo kila mmojawao akaonekana ndiye mwasisi. Sasa ndugu yetu la ajabu lipi hapo? Mbona hatujasikia makocha wakishtakiwa kwa kutumia mifumo iliyoanzishwa na watangulizi wao? Hakuna jipya kwenye soka la leo, ni mseto wa mbinu, maarifa na mifumo iliyotangulia kwa kutumia uwezo, ujuzi na utundu wa jamii ya soka ya leo.
 
Kumbe wanateseka kweli na bado wanaendelea ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…