Morrison Mali halali ya Simba

frenk julius

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
377
Reaction score
242
Habari: uongozi wa yanga umeendelea kuhaha kutafuta mawasiliano ya ya winga wao Bernard Morrison,simu amezima na hapatikani alipo

Ikumbukwe kuwa Morrison aliingia yanga Kwa mkataba wa miez 3 na kabla ya kumaliza mkataba simba walianza kumnyemelea kimya kimya winga huyu baadae yanga walikuja kuusoma mchongo huo na kumwita ili wampe mkataba wa mda mlefu

Gsm walitenga kitita cha mil80 kiasi ambacho Morrison alikataa na kutaka apewe mil.160,Gsma walikataa na kuendelea kumbebeleza

Kama kawaida wazee wa kubadili gia angani simba sc baada ya kuona gsm kama wanasusua walimfuata na kumpa kias cha pesa hicho

Time will tell
 
Kazi kweli kweli.
Hizi thread mnatafuta matusi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila la kheri mkuu
 
Teh,
Umeandika kama wewe ndo manager wake
 
Si walisema kasaini miaka 2 imekuwaje tena?
 
Wakitaka walichukue ilo garasa hata Ibrahim ajibu tulipa na hajafanya chochote Ila mkae mkijua wanaume tunamla mtu uku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…