Morrison Mali halali ya Simba

Morrison Mali halali ya Simba

Yaani pale Yanga kuna wadau wawili wakuu ambao ni damu ya mnyama. Kuna mtoa mkwanja wa sasa, na kuna mwenye kigoda wa sasa
 
Mo anaweza kurudishwa kwao India unamchezea waziri wa sheria na katiba
 
kweli mashabiki wa simba ni mambumbumbu, yaani matakuwa wa kudanganywa kwa kwenda mbele adi siku mnaingia kaburin………….pole sana!
 
Habari: uongozi wa yanga umeendelea kuhaha kutafuta mawasiliano ya ya winga wao Bernard Morrison,simu amezima na hapatikani alipo
Ikumbukwe kuwa Morrison aliingia yanga Kwa mkataba wa miez 3 na kabla ya kumaliza mkataba simba walianza kumnyemelea kimya kimya winga huyu baadae yanga walikuja kuusoma mchongo huo na kumwita ili wampe mkataba wa mda mlefu
Gsm walitenga kitita cha mil80 kiasi ambacho Morrison alikataa na kutaka apewe mil.160,Gsma walikataa na kuendelea kumbebeleza
Kama kawaida wazee wa kubadili gia angani simba sc baada ya kuona gsm kama wanasusua walimfuata na kumpa kias cha pesa hicho
Time will tell
Ivi kumbe simba mnamkubali Jamaa
 
Jamaa anawaumiza sana kila jina lake linapotajwa mashabiki wa simba mnaumia sana tulieni dawa iwaingie
 
Back
Top Bottom