The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Naambatanisha picha na video.
Je, haya ni maji safi na salama kutumia?
Je, haya ni maji safi na salama kutumia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana Moro umekuja jana wewe...Naambatanisha picha na video.
Je, haya ni maji safi na salama kutumia?View attachment 2487250View attachment 2487252
mpaka umeme pia ni shida hasa wilaya Mvomero Turiani Kila Leo hakuna umeme, maji pia sio masafi yakuweza kunywa.Mkoa Wa Morogoro maji Yao ni machafu sana,sijui shida nini.Watu wa maabara wanafanya kazi gani sijui.Maana Maji hayo lazima yatibiwe ndipo yaende kwa watu.
Ayo masafi njoo musoma uoneNaambatanisha picha na video.
Je, haya ni maji safi na salama kutumia?View attachment 2487250View attachment 2487252