MORUWASA hivi haya ndio maji safi mnayosambaza manispaa ya Morogoro?

Mkoa Wa Morogoro maji Yao ni machafu sana,sijui shida nini.Watu wa maabara wanafanya kazi gani sijui.Maana Maji hayo lazima yatibiwe ndipo yaende kwa watu.
 
Pengine palikuwa na matengenezo ya pipe then maji yakianza kutoka lazima yaanze machafu kwanza
 
Mkoa Wa Morogoro maji Yao ni machafu sana,sijui shida nini.Watu wa maabara wanafanya kazi gani sijui.Maana Maji hayo lazima yatibiwe ndipo yaende kwa watu.
mpaka umeme pia ni shida hasa wilaya Mvomero Turiani Kila Leo hakuna umeme, maji pia sio masafi yakuweza kunywa.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…