Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ama kweli wadada wanao tembea na viben ten wanakumbana na mitihani mizito sana ,na mtihani mkubwa ni kudhalilika kimaumbile.
Hilo limejidhihirisha hata kwa Mose Iyobo , ishu ilikuwa ni hivi, kuna picha imepostiwa instagram ikionesha maziwa ya Aunt EZEKIEL ,aliyepost hiyo picha alikuwa anasifia maziwa ya Aunt Ezekiel kwa sifa kedekede na kusema wazi wazi kwamba Mose Iyobo anamfaidi sana Aunt kwenye sita kwa sita.
Kwa mtu mwenye akili timamu ningetarajia angekemea suala la mke wake/mchumba wake kudhalilishwa hovyo mitandaoni kwa kuwa kwa sasa Aunt Ezekiel ameshamzalia na mtoto kabisa Iyobo kwa hiyo hata ile thamani ya Aunt nilitarajia itakuwa ni kubwa kwa Iyobo,salaaaaaaleeee alichokuja ku reply Mose Iyobo kiliniacha mdomo wazi mpaka nikajiuliza kama ana akili timamu.
Mose Iyobo alikuja ku reply kwa kuandika Aunt ana maziwa malainiiiii kiasi kwamba akiya shika shika anajihisi kama yupo peponi vile.
Kwa kweli inabidi ajitathimini upya maana si kwa ujinga huu.