mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Aiseee, unanikumbusha mbali sana ndugu[emoji125] [emoji125]Huyo.. Kajaa.. Ana bonge la k... Ni dollar.. Hana shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee, unanikumbusha mbali sana ndugu[emoji125] [emoji125]Huyo.. Kajaa.. Ana bonge la k... Ni dollar.. Hana shida
Kwa mfano Diamond na hizi skendo za kubebesha mimba wanawake ni wazi huwa hatumii kinga, pengine hawa wasanii huwa wana antivirus mwilini, huwezi ukauza mechi kwa mtu kama Wema or Mobeto kirahisi tu hata hujistukiiNgoma sio tatizo huwezi jua kma anatumia kinga au laaah,shida ni njaa zao lazma wauze ili wavae,kula etc ndio wamaisha walichagua
Kama unaona kukata kiuno rahisi kata na weweShiit !!! Huyu mkata kiuno nae mnamfungulia uzi.. Mkapa is right; elimu ya bongo imeshuka sana. Wananchi wenyewe ndio hawa.
Hao kutumia kinga huwa hamna ni kutembea na rim mwanzo mwishoKwa mfano Diamond na hizi skendo za kubebesha mimba wanawake ni wazi huwa hatumii kinga, pengine hawa wasanii huwa wana antivirus mwilini, huwezi ukauza mechi kwa mtu kama Wema or Mobeto kirahisi tu hata hujistukii
Napo ni maisha magumu ghafla kondomu imepasuka au mtu ana vidonda mdomoni ujaviona ha ha ha ha ha hapana aisee nawasifu wana mioyo.Ngoma sio tatizo huwezi jua kma anatumia kinga au laaah,shida ni njaa zao lazma wauze ili wavae,kula etc ndio wamaisha walichagua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani!!!Hawa wanawake hawapaswi kuolewa ktk uhai wao wote!
Wewe nae, si ungeenda kwenye jukwaa la siasa umefuata nini huku kama sio umbea.Shiit !!! Huyu mkata kiuno nae mnamfungulia uzi.. Mkapa is right; elimu ya bongo imeshuka sana. Wananchi wenyewe ndio hawa.
Na mademu hao wanataka viben10 ili wavidhibiti visiwe na sauti mbele zao so unakua kama mtu na boss wake tu.Mi huwa nawashangaa sana hawa vijana wanaojidanganya kuwamiliki mademu type hii kama Wema, Uwoya, Wolper, Aunt, Ndauka, Kajala, n.k Hao umalaya/kudanga kuko damuni, hawawezi acha kamwe. Utatombewa hadi ukome!
Kweli Mange alikua anapoteza muda wake na nguvu, watu wenyewe wa kuandamana ndio hawa wanamsifia kabisa mkata kiuno!! Nwatu urojo ndio wangeandamana hawa kweli na wengine ndio hao wakata viuno jukwaani. Kazi kweli kweli.Wewe nae, si ungeenda kwenye jukwaa la siasa umefuata nini huku kama sio umbea.
Udasebaje?Kwani mzima huyu? Tetesi!!!!
Kasema mnywe mofaya mtafune na diamond karanga.alikiba naye kasemaje?
Ebu fafanua mkuu mana ni kweli nasikia mastaa wanauza sana huko Dubai, tupe uthibitishoBiashara matangazo. Biashara hiyo ni ya familia.
Kwani Iyobo hajuagi kuwa mkewe anajiuza Dubai?
haha hahaa"" hao wanajuana mbona wote wamekutana wadangaji"" eti hance anajifnya hajui ...salaaleeeeBiashara matangazo. Biashara hiyo ni ya familia.
Kwani Iyobo hajuagi kuwa mkewe anajiuza Dubai?
hakuna atakacho jisikia kwakuwa anajuwa fika kuwa demu lake huwa lina dangaDaaaah jamaa akisoma hizi meseji sijui atajisikiaje
haaahaha ndio desturi ya umalaya ukikukolea sana kushare na rafiki yko nikawaida tu" hakunaga mambo ya wivuHuyo uliemtaji jina wa 5,ndio alimweka jamaa yng,yeye ndio aliokua anagongwa na jamaa bdae akamwambia nipe flani na kiu nae kitambo,bongo movie hawanaga noma unapiga mtu na rafiki yake