Mose Iyobo: Sioni kosa kumuita Harmo Rapa Nyani, hata Diamond anaitwa Simba

Basi na yeye kuanzia leo tunamuita Mbwa... Ma**ke zake.... Kwani Kati ya watu maarufu na huyo Mbwa yupo?
 
Huyu Mose anajiona ni handsome sana au!? Anaonekana hajitambui kabisa
 
Huyu Mose anajiona ni handsome sana au!? Anaonekana hajitambui kabisa
historia inaonyesha madancer wengi mwisho wa siku wanakuwaga SHOGA. Ni swala la muda tu. Kuna mibasha inatamani unavokata viuno siku moja yatakuonga billioni 1 ukatoe 0715.
 
Hawa madogo wanatafuta kiki
 
Iyobo kwani sura yake na hamorapa ina utofauti gani ,aache dharau za kijinga
 
Kiki za Harmo-rapa zimeanza kuzaa matunda.
 
Hivi huyu kijana wa WCB MOSE IYOBO ni MTANZANIA kweli....!! Uwaga NAMSHUKU....
 
Alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha U Heard na kudai haoni kosa kwa kuwa kuna watu wanajiita Simba, Dudu baya ina ni majina ya wanyama lakini kwa kuwa ni yeye amemuita Harmo Rappa Nyani wanaleta maneno mengi kwa kuwa yeye ni mtu maarufu



Yeye Moses Iyobo mbona ni sawa na Tumbili tu, kweli nyani haoni ngokole.
 
kuna haja ya kuwaandalia semin elekezi hawa wasanii wetu. s kuropoka ropoka tu.
 
Asitudanganye kuna vitu maneno au wanyama wakuonyesha positivity au negativity kutookana na vinavyochukuliwa na jami. Example Huwezi kumuita mwezio nguruwe usema ni sawa na Mbogo. Kila myama ana collocate kitu fulani. Simba shuja. Chuwi mkatili. Fisi tama. Mbogo mkali. Mbwa hajelewi
 
Ndomaana mtu akikasirika au akiwa anamuita mpenzi wake hawezi ku muita mbwa
 
Diamond kajiita yeye mwenyewe lakinj harmorappa hajajiita nyani aache use............!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…