SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Kikata mauno fulani hivi, nasikiaga!!Iyobo ndo kikolokolo gani jamani, maana namsikia sikia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikata mauno fulani hivi, nasikiaga!!Iyobo ndo kikolokolo gani jamani, maana namsikia sikia tu
Mose Iyobo bado anazaa so angemuomba radhi kiungwana tu
historia inaonyesha madancer wengi mwisho wa siku wanakuwaga SHOGA. Ni swala la muda tu. Kuna mibasha inatamani unavokata viuno siku moja yatakuonga billioni 1 ukatoe 0715.Huyu Mose anajiona ni handsome sana au!? Anaonekana hajitambui kabisa
Alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha U Heard na kudai haoni kosa kwa kuwa kuna watu wanajiita Simba, Dudu baya ina ni majina ya wanyama lakini kwa kuwa ni yeye amemuita Harmo Rappa Nyani wanaleta maneno mengi kwa kuwa yeye ni mtu maarufu
Jamaa ni m'bembe huyo toka DRC.Hivi huyu kijana wa WCB MOSE IYOBO ni MTANZANIA kweli....!! Uwaga NAMSHUKU....