Mose Iyobo: Sioni kosa kumuita Harmo Rapa Nyani, hata Diamond anaitwa Simba

Mose Iyobo: Sioni kosa kumuita Harmo Rapa Nyani, hata Diamond anaitwa Simba

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha U Heard na kudai haoni kosa kwa kuwa kuna watu wanajiita Simba, Dudu baya ina ni majina ya wanyama lakini kwa kuwa ni yeye amemuita Harmo Rappa Nyani wanaleta maneno mengi kwa kuwa yeye ni mtu maarufu

 
Aache ujinga,Diamond anaitwa Simba kwa sababu alianza yeye kujiita hivyo na hakubatizwa na mtu,kila mtu hujiita jina apendalo,Hamo rapper hajajiita Nyani..angekuwa kajiita hivyo basi na sisi tungefuata hivyo na si kubatizwa na yeye(Iyobo).
 
Mimi sijui ni kwa nini polisi hawajamkamata huyu mtu kwa kumuita mwenzake nyani, au ni hadi atukanwe mtu wa ccm/hasa kiongozi ndio wana respond?

Halafu huu utaratibu wa sisi kuitana majina ya kipuuzi umeanza lini? Yaani kuna mcheza show maarufu kuliko mwingine, au wanavyobeba unga hawachukuliwi hatua ndio wanajiina wamemaliza kila
Jeshi la polisi acheni mzaha chukueni hatua zinazostahili kwa huyo kijana
 
Mose Iyobo kafanana na Gorilla. Binti yake is super ugly and resembles a chimp toddler if ever there's one.
No. Tumwache binti yake out of this. The little girl has nothing to do with his papa's stupidity. Tusimuonee bure.
 
Back
Top Bottom