Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moses Kuria huyu ni Gatundu South MP amesema Laira kujiapisha ni uwazimu labda ajiapishe aende kwa bibi yake sio State. Kujiapisha ni kosa kikatiba ya kenya hukumu ni Kifo.
Sidhani, mana sizo mwenyewe kauli zake nyingi anasema anajutia kuwa raisi!!Sizo anamdanganya sana mchizi.
Huyo nae sio mzima kabisa kichwani.Sizo anamdanganya sana mchizi.
Moses Kuria huyu ni Gatundu South MP amesema Raila kujiapisha ni uwazimu labda ajiapishe aende kwa bibi yake sio State. Kujiapisha ni kosa kikatiba ya Kenya hukumu ni kifo.
KabiasaIla hao jamaa wanaonekana wako vizuri kwenye pombe