Moses Phiri achafua hali ya hewa, ahatarisha kibarua cha Robertinho

Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Simba Sc, kelele za kwanini hachezi kwangu hazina maana yoyote, mwenye jukumu la kupanga timu ya ushindi ni kocha, na kocha ndie anakuwa responsible timu ikifanya vibaya..

Kama timu inafanya vizuri kocha kumlaumu kocha kwasababu yoyote ni uzuzu tu, kocha hapangiwi timu, hafundishwi kazi na yeyote, aachwe afabye kazi yake. Sio Phiri, sio Chama, sio yeyote, Simba Sc kwanza, ushindi muhimu zaidi.
kocha ndiye anausoma mchezo kwa pande zote mbili pia alikuwa anapima wachezaji kwenye mazoezi viwango vya wachezaji hupanda na kushuka
 
Kibu mnamuonea bure ivi kunamchezaji anacheza hovyo kama saido? phili achukue nafasi ya saido
 
Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya Simba Sc, kelele za kwanini hachezi kwangu hazina maana yoyote, mwenye jukumu la kupanga timu ya ushindi ni kocha, na kocha ndie anakuwa responsible timu ikifanya vibaya..

Kama timu inafanya vizuri kocha kumlaumu kocha kwasababu yoyote ni uzuzu tu, kocha hapangiwi timu, hafundishwi kazi na yeyote, aachwe afabye kazi yake. Sio Phiri, sio Chama, sio yeyote, Simba Sc kwanza, ushindi muhimu zaidi.
Acha upumbavu basi.
Kwa hiyo tunaomtaka Phiri ni kwa sababu ya sura yake?
Hujui alifanya nini kabla hajaumia?

Hatuwezi kuaminini kila mtu tu kwa jina la kocha hata kama ana mapungufu ya kibibadamu.
Huwezi kumchezesha Kibu dk zote ukamucha mchezaji kama Phiri.
Tunahitaji maelezo ya kina kutoka kwa viongozi
 
Back
Top Bottom