Moses Phiri achafua hali ya hewa, ahatarisha kibarua cha Robertinho

Na hakuna aliyesema phiri ni zaidi ya klabu,ila wanasema Phiri ni zaidi ya bocco na kibu over
Hawezi kuwa zaidi ya bocco au kibu siku zote! kocha ndo anajua form ya kila mchezaji kila siku!!
 
kocha ndiye anausoma mchezo kwa pande zote mbili pia alikuwa anapima wachezaji kwenye mazoezi viwango vya wachezaji hupanda na kushuka
 
Kibu mnamuonea bure ivi kunamchezaji anacheza hovyo kama saido? phili achukue nafasi ya saido
 
Acha upumbavu basi.
Kwa hiyo tunaomtaka Phiri ni kwa sababu ya sura yake?
Hujui alifanya nini kabla hajaumia?

Hatuwezi kuaminini kila mtu tu kwa jina la kocha hata kama ana mapungufu ya kibibadamu.
Huwezi kumchezesha Kibu dk zote ukamucha mchezaji kama Phiri.
Tunahitaji maelezo ya kina kutoka kwa viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…